TAARIFA:Uongozi wa Klabu ya Yanga umetangaza kusikitishwa na tamko la SportPesa


TAARIFA:Uongozi wa Klabu ya Yanga umetangaza kusikitishwa na tamko lililotolewa na Mdhamini wake mkuu 'SportPesa'likiishutumu Klabu hiyo kukiuka makubaliano ya kimkataba kwa kuzindua jezi maalumu ya mashindano ya Kombe la Shirikisho la CAF yenye nembo ya Mdhamini mwingine "Haier"
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad