Jeshi la Wananchi JWTZ, Polisi na Jeshi la Zimamoto na uokoaji wakifanya uokozi wa abiria kutokana na kinachodaiwa kuwa ni ajali ya Ndege jirani na uwanja wa Ndege Kahama.
WANANCHI wa Kahama jirani na uwanja wa Ndege wamekumbwa na Taharuki mara baada ya kusikia kuna ajali ya ndege ambayo imeanguka na kuwaka moto.
Taarifa Kamili tukakuletea endelea kutembelea mitandao yetu.