UTEUZI Mpya: Hamad Abdallah Ateuliwa na Rais Kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)


Rais Samia Suluhu amemteua Hamad Abdallah kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) akichukua nafasi ya Nehemiah Mchechu ambaye ameteuliwa kuwa Msajili wa Hazina.


Kabla ya uteuzi huo, Abdallah alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Gimcoafrica Limited.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad