UTEUZI Mpya: Nehemia Mchechu Ateuliwa na Rahisi Kuwa Msajili wa Hazina


Rais Samia Suluhu amemteua Nehemia Mchechu, kuwa Msajili wa Hazina, akichukua nafasi ya Mgonya Benedicto ambaye atapangiwa kazi nyingine.

Kabla ya uteuzi huo, Mchechu alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC).

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad