Wanawake Watatu, Watoto Wawili Wakutwa Hai Siku 9 Tangu Tetemeko Kutokea Uturuki




Melike Imamoglu (42) na Cemile Kekec (74) wameokolewa katika Mji wa #Kahramanmaras wakati timu ya waokoaji ikisafisha maeneo yaliyoathirika. Wengine wameokolewa Mji wa #Antakya ambapo ni Mama na Watoto wake wawili

Jumla ya Watu waliopoteza Maisha kutokana na Tetemeko katika Nchi za Uturuki na #Syria imefika 41,000

Aidha, wakati misaada mbalimbali ikiendelea kutolewa Uturuki, upande wa pili Umoja wa Mataifa (#UN) haujapeleka misaada Syria wakibainisha kuna ugumu wa plotokali kufikisha misaada sehemu husika
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad