Waziri Nape "Laini 900,000 za SIMU Zisizo na Uhakiki wa Alama za Vidole Zimefungwa



Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, #NapeNnauye, amesema Laini hizo ni ambazo Watumiaji wake waliendelea kuzitumia bila kukamilisha Usajili Rasmi wa Alama za Vidole na Kitambulisho cha Taifa

Januari 2023 Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA) ilitangaza kuzima huduma za Mawasiliano ya Laini zote ambazo hazijahakikiwa ambapo tarehe ya mwisho ilikuwa ni Februari 13, 2023, lengo ikiwa ni kudhibiti matukio ya uhalifu ikiwemo Utapeli wa "Ile Hela Tuma kwa Namba Hii"

Je, bado unapokea Meseji za aina hiyo?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad