WCB wasaini msanii mpya, Diamond Platnumz Aandika Haya


Lebo ya Wasafi leo Februari 2, 2023 wametangaza kumsajili msanii mpya ambaye hawajamtaja jina.


Kupitia ukuarasa wa Diamond Platnumz, ameposti vipande vya picha za mkataba huo na kusindikiza na ujumbe wa kumshukuru Mungu.

"02|02|2023 Another Blessing Day For Blessing Kid ????"

Msanii huyo anakwenda kuongeza namba kwenye timu hiyo ya Wasafi akiungana na Mbosso, Zuchu, Lavalava na Queen Darleen.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad