Yanga Wadhamiria Kuchukua Ubingwa, Namungo Waona Cha Mtema Kuni



Ushindi unaifanya #Yanga kufikisha pointi 59 katika nafasi ya kwanza kwenye msimamo wa #LigiKuu ikifuatiwa na #Simba yenye pointi 53, timu zote zimecheza mechi 22


Waliofunga magoli mchezo dhidi ya Namungo kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar ni Dickson Job na Stephane Ki. Namungo imebaki nafasi ya 6 ikiwa na pointi 29 katika mechi 22


Simba ikishinda michezo yote iliyosalia itafikisha pointi 77 wakati Yanga itafikisha pointi 83, lakini bado kuna mchezo baina ya timu hizo unaotarajiwa kuchezwa Aprili 2023

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad