Albamu ya Marehemu AKA yagonga Mauzo ya Gold



Album ya marehemu AKA “Mass Country” ambayo iliachiwa February 24, 2023 imefikisha hadhi ya Gold kwenye soko la Album nchini Afrika Kusini ambapo ni mauzo ya nakala 15,000.


Album hiyo ya Nne kwa AKA iliachiwa siku 14 baada ya Kifo chake kilichotokea February 10 Jijini Durban kwa kupigwa risasi

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad