Aomba Auwawe kwa Heshima ya Watoto wake

 


Genevieve Lhermitte Mwanamke wa Ubelgiji ambaye aliwaua watoto wake watano ameuwawa kwa ombi lake mwenyewe ikiwa ni miaka 16 baada ya mauaji hayo.



Mama huyo mwenye umri wa miaka 56 alihukumiwa kifungo cha maisha jela mwaka wa 2008 lakini nchini Ubelgiji sheria inaruhusu watu kuchagua kuuawa ikiwa watachukuliwa kuwa na matatizo ya kisaikolojia "yasiyovumilika", na si tu mateso ya kimwili, ambayo hayawezi kuponywa.


Lhermitte alichagua kufariki tarehe 28 Februari kama ishara ya kuheshimu watoto wake.


Genevieve alimuua mwanawe wa kiume na binti wanne, wenye umri wa miaka mitatu hadi 14, katika mji wa Nivelles tarehe 28 Februari 2007

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad