CAG Charles Kichere Tume iundwe Kuchunguza Mchakato wa Plea Bargain"
0
March 29, 2023
"Napendekeza ieundwe tume huru ya kuchunguza uwezekano wa ukiukwaji wa maadili na matumizi mabaya ya ofisi ya umma katika mchakato wa kukiri kosa na kutaifisha mali za watuhumiwa [Plea bargain]."- CAG Charles Kichere
Tags