Mfumo mpya wa Kombe la Dunia utakao anza kutumika mwaka 2026 kwa mujibu wa Shisrikisho la soka Duniani FIFA
▪️ Mechi 104
▪️ Timu 48
▪️ Makundi 12
▪️ Timu itacheza mechi nane (8) mpaka kushinda Ubingwa
▪️ Timu mbili (2) za juu kutoka kila kundi na timu nane (8) bora zitakazoshika nafasi ya tatu zitasonga mbele katika hatua ya 32 kwaajili ya mtoano.
Mnweyeji wa Kombe la Dunia 2026 atakuwa Marekani akishirikiana na Canada na Mexico.
Itakuwa michuano ya kwanza kutumia mfumo huo mpya wenye jumla ya timu 48, Fainali zake zitapigwa Julai 19.
Imeandikwa na @fumo255