Godbless Lema Ataja Madhara Mengine ya Boda Boda Katika Jamii


Madhara mengine ya kurasimisha usafiri wa bodaboda tofauti na ajali,maradhi na umasikini ni kuwa kundi la vijana litapuuza kazi nyingine mbali mbali (vocational skills) kama mechanics,ujenzi,seremala nk.Kuna uwezakano baadhi ya kazi muhimu zitakuja kukosa watu ktk siku za usoni.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad