H Baba Atoa Mpya "Naishi Kwa Uwezo wa Mungu na Diamond Platnumz"


Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa @h.baba_ Ameandika....

"Asante sana @diamondplatnumz ntaendelea kukushukuru nakila sababu yakukushukuru kwanza nimepata Mwaliko mkubwa nchini MAREKANI tar 18/05/2023 hii yoote nikwaajili yako Asante sana Unamoyo wakipekee sijaona moyo huo kwa sisi vijana uwe billionaire kijana kama @diamondplatnumz tungeambulia makofi na dharau.

Umenipa ubalozi wa mwaka mzima kila mwezi nachukua M.4 nakueshimu hii kwangu nieshima kubwa naishi nasaidia familia yangu Mwanza dar Kwa ajili yako Nakushukuru Sana familia inaenda chooni nikushukuru kidogo kwao kikubwa kwangu familia yangu inakushukuru Wana MWANZA wanakushukuru.

Naishi Kwa uwezo wa #ALLAH na #DIAMOND mwenyezi Mungu akupe maisha marefu pia Akupe Mwisho Mwema kiukweli nafasi ulionayo Naseeb Angeipata Msanii mwingine tofauti nawewe tungekoma hapa mjini wangetembea bila nguo kiburi Cha fedha angalia billionaire kijana @diamondplatnumz umetulia unasaidia watu wengi umeajili vijana kibao namimi ndani ATA SILINGI .

MUNGU PEKEE NASEEB PEKEE KIMBILIO LANGU H.DANGOTE"

Una Maoni gani kwenye Hili?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad