Huddah Monroe " Sijaona Mwanaume Mwenye Nguvu ya Kunipa Ujauzito"

 


Staa kutoka Nchini Kenya Huddah The Boss Chick amekanusha stori za kuwa na ujauzito kama wengi walivyodhania baada ya ku-share video katika Instastory yake clip ambayo alionesha tumbo na kuandika ujauzito wa miezi 3.


Kupitia ukurasa wake wa Instagram (Instastory) ameweka ujumbe ambao amekanusha taarifa hizo kwa kusema kuwa tumbo lake linakuwa kubwa tu mbali na hivyo amedai kuwa hajaona mwanaume mwenye mbegu za kiume zenye nguvu ya kumpa Ujauzito.


Ameongeza kwa kusema kuwa watu wasitegemee kuona ujauzito wala watoto wake kwani anapenda maisha ya siri.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad