Huenda Ricardo Momo Amerudiana na Mkewe Malaika, Diamond Afichua Siri


Huwenda mtangazaji wa #WasafiFm na meneja wa wasanii kutoka lebo ya #WCB Ricardo Momo akawa amerudiana na mke wake Malaika cute55 hii ni kwa mujibu wa post ya Diamond platnumz

Msanii Diamond platnumz amepost kipande cha video kwenye Instastory yake kinachomuonyesha Momo na watu wengine na mwanamke anaeonekana kama @malaikacute55 na kuandika "Anajificha eeti, ndugu yetu karudi anaona haya kuweka hcgq adharani...😂".

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad