Jack Cliff Afunguka Kuhusu Dawa za Kulevya Alizokutwa Nazo Airport "Rafiki Aliniponza"


“Nakumbuka nilikuwa nimeenda Thailand kwenye mambo yangu na kipindi hicho nilikuwa nina maduka yangu ya vipodozi hivyo nilivyofika kule rafiki zangu wa Macao waliniita.

Rafiki yangu aliniambia nionane na mtu wake ambaye alikuwa Thailand na atanipa mzigo nimpelekee Macao nami nilifanya hivyo kumbe mzigo ambao alinipa ulikuwa ndani yake una madawa ya kulevya bila mimi kujua” @ms.jackiecliff

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad