Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Limetangaza AJIRA za Kujiunga na Jeshi

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetangaza AJIRA za Kujiunga na Jeshi
 

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Limetangaza AJIRA za Kujiunga na Jeshi 

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetangaza nafasi za kujiunga na Jeshi hilo kwa Vijana ambao wametumikia au wamefanya mafunzo ya kujitolea katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa miaka miwili kisha wakarejeshwa majumbani.


Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano, Luteni Kanali Gaudentius Ilonda akiwa Dodoma leo amesema “Vijana hawa walifanya mafunzo JKT na walipotimiza miaka miwili wakapewa vyeti baada ya kukosa fursa aidha kuandikishwa JWTZ au katika Taasisi/Vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama, walirejeshwa majumbani lakini sasa fursa imepatikana, naishukuru Serikali tumepata nafasi kuandikisha Vijana hawa”

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad