Kontawa "Nilipanga Kumtumia Huyu Mwamba Kama Dunga Mawe ila Kafariki"


Msanii wa Muziki wa Hip hop @kontawaa Amefunguka kuwa Alikuwa na mipango ya kumuweka Marehemu #Ahoufe Tiktoker kutoka Nchini Ghana kwenye video ya wimbo wake wa #DungaMawe
.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Ameshare video ya Mchekeshaji huyo na kuandika....

"Ebana Nilikua Nikipitia Comment Zenu kuhusu Uyu Jamaa Anaitwa @ahoufe_abrantie kwa wale Wasio Mjua Wengu Wenu Mlionyeshwa Kumpenda Awee Muhusika Kwenye Video Yetu Ya DungaMawe Ata Kwa Upande Wangu ilikua ni Hivyo hivyo Na Nilikua Nimesha kuzungumza na Maneger Wake Kuhusu Wao kuweza Kuja ili tuweze kushoot Binafsi nilikua na Shauku kubwa ya kulitimiza hili Kwa sababu Ya upendo Mnaonionyesha Naimani Ingekua faraja pia Kwenu

Lakini Kipindi tunapanga yetu Mungu nae huwa anapanga yake Na mipango ya Mungu haina Makosa
MWANA AMEFARIKI NA ATUKO NAE TENA😭.
R.I.P @ahoufe_abrantie (DungaMawe)"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad