Lema "Vijana Mnaoendesha Boda Boda Miaka 20 Ijayo Wote Mtakuwa Mmekufa"

 


Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini (#CHADEMA), Godbless Lema amesema, "Ukiona Dereva Bodaboda wameongezeka ujue ni umasikini umeongezeka. Hakuna kazi ya mateso, ufukara na umasikini kama ya Bodaboda"


Akizungumza katika eneo la Dampo Jijini #Mwanza kwenye mkutano wa hadhara ameongeza, "Vijana mnaoendesha bodaboda hivi sasa, miaka 20 ijayo wote mtakuwa mmekufa. Mtaumwa Vifua, Viuno, Migongo na wengine mtakuwa Vipofu kutokana na upepo"

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad