Askari Polisi Jijini #Nairobi wamefunga njia inayoelekea Ikulu kutokana na purukushani za #Maandamano ambayo yamepigwa marufuku
Kwa mujibu wa Vyanzo vya Habari Nchini #Kenya, kuna mivutano kadhaa kati ya Waandamanaji na Polisi, huku wengine wakiendelea kujikusanya sehemu tofauti. Kutokana na hali hiyo, Biashara katika maeneo mbalimbali zimefungwa