Majizzo Awaondoa Masanja Mkandamizaji na Lilian Mwasha Wasafi FM
0Udaku SpecialMarch 18, 2023
Mkurugenzi wa kituo cha EFM @majizzo amezindua kipindi kipya cha dini kupitia TVE ambacho kitakuwa kinaendeshwa na @mkandamizaji @lillianmwasha_ na @hananja.r
@majizzo ameeleza kuwa Watangazaji hao @mkandamizaji @lillianmwasha_ wamehamia TVE