Ameaandika Haya Malaika Cute "
Binadam wote n sawa tofauti yetu inakuja tu pale kwenye uhalisia wetu.mm nna mapungufu meng tu kama binadam maana alokamilika n Mungu pekee yake.LKN UNATOKEA UNANIANDAMA KILA UKIAMKA NI MM CHUKI ULONAYO WW NI YA NINI NA UKIULIZWA TUNAGOMBEA NINI UNALO LA KUJIBU. MM NTABAK KUWA MM HATA UFANYE NN HUWEZ NISHUSHA NA UNALOTAKA PIA HALITOKUAA KWA MAANA MPAKA HAPA N MUNGU TU .UCHAWA UNA MWSHO NA UCHAWA UFANYE KAMA WENGNE UNAWEZA MSIFIA BOSS WAKO BILA KUPONDA WENGNE NAKUANGALIA NIKISEMA NIKUWAZIE NASHINDWA MAANA HATA CKUELEWI UNA JINSIA GAN YA KIKE AU YA KIUME MAANA KI UHALISIA N MWANAMME LKN MAISHA YAKO ONGEA YAKO KILA KTU CHAKO NI DADA SIKITU 😃😃😃 UTAHANGAIKA SANA NA MM KASHINDWA BOSS WAKO UTAKUWA WW MMBWA USOKUWA NA GETI NIACHE NA CNA MDA NA SHOBO ZAKO UNASUJUDIA BINADAM WENZIO HATA MUNGU HUMUOGOPI.UNAYAKO KIBAO UNAWEZA KUYASEMA KWA PAGE YAKO KILA CKU NA WATU MBONA YA SHOGA YAKO Anayo MENGI TENA MACHAFU NA YAKUSIKITISHA !!!!MBONA UYASEMI AU KWA SABABU NI BOSS WAKO BASI MWAMBIE BOSSWAKO AONGEZEE DAU MAANA UNAJITAID SANA ...