Mamia Walalamika TIKTOK Kugeuka Sodoma na Gomora Nyakati za Usiku


Watumiaji wamedai baadhi ya watumiaji wasiozingatia Maadili huutumia Mtandao huo 'Usiku wa Manane' kuingia 'Live' na kufanya vitendo vya Uasherati, kuonyesha utupu wao na kutumia Mihadarati kama Bangi na Mirungi


Baadhi ya watumiaji wa Kike wanadaiwa kujichukua video za utupu na kuweka namba zao za Simu na kuomba Fedha watazamaji kwa njia ya 'zawadi' huku Watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja wakitumia Mtandao huo kujitangaza


Inaelezwa wanaofanya vitendo hivyo, wanapendelea kuingia usiku ili kukwepa kuripotiwa na akaunti zao kufungwa

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad