Tangu Mwaka Jana NIFFER alikuwa akihusishwa kutoka Kimapenzi na PATRICK Kanumba lakini hakuna aliyeleta uthibitisho, hivyo zikabaki kuwa skendo tu.
Aliyekuja kuharibu mambo ni Mama PATRICK, hivi karibuni amefanya Interview na amethibitisha kwamba wawili hawa ni wapenzi.
Baada ya kauli hiyo kutoka kwa Mama PATRICK, Niffer amewaka vibaya mno, ameandika Gazeti refu sana Instagram, anadai kwamba asihusishwe na suala la kutoka kimapenzi na mtu yoyote yule, (kiufupi anamzungumzia PATRICK)
Wewe unadhani kwanini amejitokeza hadharani na amepinga suala hilo?