Mwanamziki MwanaFA Afunguka Kwa Mara ya Kwanza Baada ya Kupewa Uwaziri na Rais Samia

 

Mwana FA

Anaandika Naibu Waziri Wa Sanaa Utamaduni Na Michezo @mwanafa Kwenye IG Yake............

"Namshukuru sana Mheshimiwa Rais @samia_suluhu_hassan kwa imani hii kubwa aliyonipa kijana wake. Ina maana kubwa mno na naahidi kufanya kila lililo ndani ya uwezo wangu nisimuangushe.

Nawashukuru pia sana wananchi wenzangu wa Muheza kwa imani na ushirikiano mkubwa wanaoendelea kunipatia.Muheza ni ya watu magwiji watupu.

Wanautamaduni,wasanii na wanamichezo wa nchi hii,muda ndio huu jamaa zangu,TWENDENI TUKAFANYE MAMBO YETU KWA MIKONO YETU WENYEWE..its now or never. Mungu ametoa kibali, #KaziIendelee''

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad