Mwimbaji TEMS Azungumzia Vazi Lake Lililokuwa Gumzo Tuzo za Oscar


Mwimbaji TEMS alipania kabisa kuuteka usiku wa Tuzo za Oscars 2023 kwa vazi lake ambalo limegeuka mjadala mtandaoni. Kwenye mahojiano na Harper’s Bazaar, Tems alielezea kwanini alichagua vazi hilo.

“Miaka miwili nyuma, ningesema hapana siwezi kulivaa vazi hili. Lakini mara yangu ya kwanza kwenye Oscars, ninaenda kuonekana. Nilitaka kuifanya iwe siku yangu kubwa. Vazi lile ni namna ya kusheherekea kazi yangu na watu walionizunguka, pia kushehereka nchi yangu. Hili vazi linasema, ndio, ndio, Niko hapa.” alisema Tems.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad