Spika Mstaafu wa Bunge, JobNdugai, amewataka Watanzania kuacha tabia ya kutothamini Mafanikio au juhudi za Watu hasa katika sekta ya Biashara
Amesema “Kazi ni Kazi ilimradi iwe halali, achaneni na yule anayesema wanaoendesha Bodaboda wamelaaniwa labda amelaaniwa yeye, sasa ule si wenzawazimu tu.”
Amesema ipo tabia ya kuamini Utajiri ni Ushirikina jambo ambalo si sahihi, hivyo kusababisha Wengi kuacha kufanya kazi za halali na kujiingiza katika mambo yasiyofaa