Paula Kajala hajaolewa, ilikuwa tangazo

 


Siku chache baada ya kutrend kwa ndoa ya mtoto wa Kajala Masanja, Paula ambayo ilizua maswali mengi kwa watu, hatimaye ukweli umejulikana.


Akizungumza kwenye kipande cha video ambacho kinatrend mitandaoni, Kajala amekaririwa akifafanua kuwa mwanaye bado ni mdogo na hajaolewa kama watu wengi walivyoamini.


"Paula Bado mdogo sana, tulikuwa tunafanya Tangazo na tumefanikiwa."


Kajala hakufafanua kwa undani zaidi kwamba tangazo hilo lilikuwa ni la kitu gani.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad