PICHA: Paula Kajala Ameolewa, Mama yake Adhibitisha na Kufunguka Haya

Paula Kajala Ameolewa

Supastaa @kajalafrida ametangaza binti yake Paula ameolewa yaani @therealpaulahkajala kwa sasa ni mke wa mtu!

Posti hiyo ya Kajala ambayo imewashangaza wengi mtandaoni, hata hivyo kuna wengine hawaamini kama ni ndoa kweli. Kwa mujibu wa kile kilichoandikwa na Kajala, Paula amefunga ndoa ya Kiislamu na ameolewa na mtu aliyetajwa kwa jina la Ally.

"Mungu akutangulie katika maisha yako haya mapya dada pau ukawe mke bora na sio bora mke👌🏽Mrs ALLY" - Ameandika @kajalafrida akimtakia @therealpaulahkajala maisha mema ya ndoa.

Una mtazamo gani⁉️




Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad