Prof Nabi Afunguka Kuhusu Sub ya Aziz K Mchezo Real Bamako


Sote tunafahamu uwezo na ubora wa Aziz Ki ila changamoto ni nidhamu ya kimbinu (tactical discpline) baada ya kufunga bao tulipoteza Kiungo chetu kwakuwa alikuwa hashuki kusaidia (track back) na sio yeye tu hata Mawinga hivyo ililazimu kuwatoa kurekebisha.

Kocha wa Yanga Nasreddine Nabi akizungumzia kiwango cha Aziz Ki ambaye alionekana hakuwa bora uwanjani na kuamua kumtoa mapema kipindi cha pili na nafasi yake ikachukuliwa na Khalid Aucho.

Nabi pia amezungumzia hali ya ubinafsi iliyooneshwa Mayele kuna nyakati alishindwa kutoa pasi kwa wachezaji ambao wapo kwenye nafasi nzuri zaidi ya kufunga kuliko yeye.

- Prof Nabi, juu ya sub ya Aziz Ki.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad