Shamba la ekari moja linauzwa KEREGE BAGAMOYO


Shamba Lina ukubwa wa ekari moja (sqm 4096).
Shamba lipo umbali wa km 4 kutoka Kerege Matumbi (main road ya Dar to Bagamoyo) au km 10 kutoka Bunju B dsm.

Shamba lipo tambarare na limepakana na miradi mikubwa ya maendeleo na ile ya kimkakati.

Shamba linafaa kwa kilimo, ufugaji au makazi.
Shamba Lina mitiki tu.

Tunaliuza Bei ndogo sana ya sh 18m tu ili tumalize shida zetu.

Wahi upate kuokota hii fursa.
Piga simu 0758603077
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad