Taarifa rasmi ya kifo cha Costa Titch yatolewa na familia, alikuwa na miaka 28

 


Hii ndio taarifa rasmi imetolewa na familia pamoja na uongozi wa CostaTitch kuhusu kifo cha kijana wao.

Costa Titch ambaye alikuwa msanii wa Amapiano amepoteza maisha baada ya kuanguka jukwaani akitoa burudani huko Johannesburg Afrika Kusini.

Kwa mujibu wa taarifa ya familia Costa Titch amepoteza maisha akiwa na umri wa miaka 28 na sio 27 kama ilivyoripotiwa mwanzo 



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad