Tessy "Fred Vunja Bei Alinipa Kianzio cha Millioni Moja Baada ya Kuvunjiwa Ofisi"

 

Tessy "Fred Vunja Bei Alinipa Kianzio cha Millioni Moja Baada ya Kuvunjiwa Ofisi"

Mrembo Tessy Chocolate amefunguka kuwa baada ya kuvunjiwa ofisi yake na watu wasiojulikana mfanyabiashara Fred Vunja Bei alimpa kianzio cha kiasi cha Milioni 1 na kumpa ushauri juu ya utafutaji.


Akiwa kwenye kipindi cha ICU, Tessy amesema kuwa baada ya tukio hilo alipata idea ya kutengeneza bidhaa zake za Momo na mtu wa kwanza kumuomba kianzio ni Fred Vunja Bei.


"Baada ya tukio lile nilipata idea ya kutengeneza bidhaa za Momo ambapo mtaji wake sio mkubwa sana nilianza kutengezea kwenye mabeseni nikaenda kwa Fred Vunja Bei nikamuelezea kila kitu nikamuomba aniazime milioni moja akanipa na siku nilivyotaka kumrudishia akaikataa," alisema Fred

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad