Abigail Chams "Wasanii Wananitongoza Sana"


Kupitia TheSwitch @abigail_chams amekiri kuwa wasanii wamekuwa wakimtongoza lakini yeye anachukulia ni kawaida na ni asili ya mwanadamu akimuona binti mzuri basi atajaribu bahati yake.

Hata hivyo Abigail amesema kuwa huwa anawaambia kuwa havutiwi na mambo hayo kwa sasa kwani ameamua ku-focus na muziki wake pamoja na shule

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad