Afisa wa Nida Ashitakiwa Kupokea Hongo ila Kutoa Kitambulisho Cha Nida kwa Raia wa Uganda


Mahakama ya Mkoa imemtia hatiani Lilian Stanslaus Mwangwa, Afisa wa #NIDA Kituo cha #Ilemela, kwa kupokea Hongo ya Shilingi za Kitanzania 51,000/- kutoka kwa Raia wa #Uganda kupitia 'M-pesa' yake

Lengo lilikuwa ni kufanikisha kumpatia Raia huyo, Timothy Nakoko George, Kitambulisho cha Taifa cha #Tanzania ilihali hastahili

Mshtakiwa amepewa adhabu ya kulipa faini ya Tsh. Laki Tano (sh. 500,000)au kwenda jela Miaka Mitatu
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad