Ali Kiba na Ujumbe wa Kheri Kwa Mkewe


Ikiwa leo ni siku ya kumbukizi ya tarehe ya kuzaliwa ya mke wa msanii @officialalikiba Bi Amina @aileenalora Alikiba ametumia ukurasa wake wa Instagram kumtakia mke wake kheri katika siku hii muhimu japo baadhi ya watu mitandaoni walikuwa wakisambaza taarifa kuwa wawili hao wameachana au hawako kwenye maelewano mazuri.

Kupitia Instastory yake @officialalikiba amepost video akiwa na watoto wao @keyaanalikiba na @kamrankiba na kuandika "Happy birthday mama watoto Mungu akupe hitaji la moyo" na kufuatia na post ya pili kwenye Instastory aliyoweka picha ya mkewe na kuandika "Happy Birthday Mama watoto @aileenalora ".

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad