Basata Watoa Neno Kuhusu Wasanii Wanaolalamika na Kujitoa Kwenye Tuzo za Tanzania Music Awards TMA


Baada ya kuwa na taarifa za malalamiko kutoka kwa wadau mbalimbali na baadhi ya wasanii kuomba kujiondoa kwenye tuzo za TMA.

BASATA wametoa taarifa maalumu wakieleza namna mchakato ulivyofanyika.

BASATA wameeleza kuwa kila msanii unayemuona kwenye tuzo alijipendekeza mwenyewe na kuandika taarifa zao wenyewe.

BASATA wanashangazwa na baadhi ya wadau wakilalamikia na baadhi ya wasanii kuomba kujitoa haliyakuwa walijisajili wenyewe.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad