Chadema wataka uchunguzi wa Plea Bargaining

 


Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimeitaka serikali kuunda tume ya kijaji kushughulikia sakata la  Plea Bargaining ambalo limetajwa kwenye ripoti ya CAG kuwa zoezi hilo liliendeshwa kwa kukiuka sheria

Akizungumza na wanahabari John Mnyika ambaye ni Katibu Mkuu wa chama hicho amesema kwa inavyoonekana kwa sasa jambo hilo limeachwa kwa tume ya haki jinai iliyoundwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan jambo ambalo anasema sio sahihi

"Tunatoa wito kwa Serikali kuunda Tume ya kijaji kushughulikia jambo hili la Plea Bargaining." amesem

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad