Christian Ronaldo Aanza Kuwa Mdebwedo Saudi Arabia, Timu yake Yatupwa nje ya Mashindano


Klabu ya Al Nassr FC ya Saudi Arabia anakochezea Mreno Cristiano Ronaldo imetupwa nje ya michuano ya kombe la mfalme kufuatia kipigo cha 1-0 dhidi ya Al Wehda FC kwenye nusu fainali huku Cristiano Ronaldo akishindwa kufunga bao kwenye mchezo wa tatu mfululizo.

FT': Al Nassr FC 0-1 Al Wehda FC
⚽ Beauguel 23'

Al Nassr FC imefurushwa kwenye kikombe cha pili baada ya kuondoshwa pia kwenye Super Cup.

Al Wehda imetinga fainali ambapo itachuana na Al Hilal iliyotinga fainali kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Al Ittihad FC.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad