Mkurugenzi wa Mashitaka na maafisa wake walikiuka taratibu za makubaliano ya kukiri kosa katika kukamata, kuendesha mashitaka, na kushughulikia kesi.
Uchunguzi ufanyike kwani ukiukwaji huo unaonesha ukosefu wa uwazi katika uandikishaji mikataba ya kukiri kosa. #RipoyiYaCAG