DullySykes aomba Kuondolewa kwenye tuzo za Tanzania Music Awards


DullySykes aomba tuondolewa kwenye tuzo za TMA, mimi nastahili tuzo ya heshima

Msanii mkongwe wa muziki wa BongoFleva DullySykes ametoa la moyoni muda mchache baada ya majina ya wanaowania tuzo za muziki TMA kutangazwa na @basata.tanzania na yeye akiwa katika kipengele cha Msanii Bora ya BongoFleva.

Katika kipengele hicho msanii huyo anashindanishwa na @mbosso_ , @officialalikiba , @marioo_tz pamoja na @harmonize_tz ambapo amedai wote ni wadogo zake na hapaswi kushindanishwa nao.

Dully amedai kwa sasa anastahili kupewa tuzo ya heshima kwa kazi kubwa aliyoifanya kwenye muziki wa BongoFleva

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad