Feza Kessy atamani kuufikisha muziki mbali Kimataifa



Msanii Wa Bongo Fleva Nchini, Feza Kessy anasema kwamba lengo lake ni muziki wa Bongo Fleva ufike mbali na kusikilizwa zaidi na mashabiki wake wasubiri Kolabo za Kimataifa za kutosha.


Feza amesema, ana mpango wa kufanya muziki wa Kiswahili ili aweze kujitangaza zaidi ndani na nje ya nchi.


"Hilo ndilo lengo langu kwa hapa, nataka kuona muziki wetu unakua na Kiswahili chetu kinakwenda mbali," alisema Feza.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad