Gigy Money Ahofikia Kinachompitia Rosa Ree , Aomba Kupatiwa Muda Amshauri


Baada ya Rapa @rosa_ree kuweka wazi kuwa kuna magumu anayapitia kwa sasa, Msanii @gigy_money_og ni moja ya Mastaa walioshuka kwenye uwanja wa Komenti katika Post hiyo alioiweka #Rosaree kwenye Instagram yake na kumpa moyo kwa anayoyapitia kwa kuandika...

"Verified
Keep calm Mama❤️‍🩹 ni sawa kutojisikia vizuri rosa ni sawa kutamani kujisikia vizuri lakini Mungu humpa majaribio yule anae weza kuyashinda ..., just know your the winner na ndio mana unajitambua pale unapo onyesha hisia yako ya ndani bila kusema .... kinachokusibu🙌🏽 nakuelewa sana na nimekupigia upatikani am good on talking to people ... i gotch you sis
Ukiona giza limtanda ujue Nuru inakaribia🙏🏼❤️"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad