Mrembo na mwanamitindo maarufu nchini Tanzania @hamisamobetto ameweka wazi kuwa huwa hapendi kabisa watu kuwazungumzia watoto wake na ndio maana huwa hapendi kuwaongelea hata katika mahojiano yake.
Ameyasema hayo kupitia Mahojiano "Interview" aliyofanya na #amplifaya na @millardayo ameweka wazi kuwa ni bora mtu kumuongelee yeye na baba wa watoto zake ila usiwahusishe watoto zake kwenye hilo hapendi kabisa , mbali na hiyo ameweka wazi kuwa ana mpango wa kuongeza mtoto mwingine japo hajajua ni lini.
.