Inatisha: Dr Nandipha aliiba maiti 3 ili kusuka mpango wa kumtorosha Thabo Bester gerezani


Inatisha Sana unaambiwa hii stori ni kama Movie, Dr Nandipha aliiba maiti 3 ili kusuka mpango wa kumtorosha Thabo Bester gerezani huko South Afrika, mpango ambao alifanikisha na maiti moja kutumika gerezani kama ndio Thabo Bester kajiua na moto ndani ya Gereza na kuwezesha kumtorosha kwa kushirikiana na walinzi wa Jela..

Tazama VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad