Kipa Ally Salim Kupewa Nafasi Leo Tena Dhidi ya Waydad? Clean Sheet Tatu Zinambeba Dhidi ya Beno Kakolanya

 


“Nimeona kuna baadhi ya watu wakiwa na mashaka na golikipa wa Simba Ally Salim wakisema asianze badala yake aanze Beno Kakolanya.”

“Watu wanadai pengine Ally Salim anaweza kuwa na ile hofu ya ugenini, watu wanamchukulia huyu Ally Salim kama mtoto wa miaka 17! Salim yupo Simba muda mrefu na amekuwa kwenye hizi mechi mara nyingi japo alikuwa hachezi lakini kuna vitu kajifunza.”

“Mechi tatu [3] mfululizo ambazo Ally Salim ameaminiwa zote amefanya vizuri na kutoka na clean sheet, haohao watu ambao bado hawamwamini aliwaonesha ubora kwenye mechi dhidi Yanga na Wydad.”

“Kama mwalimu atamwamini na kumpa nafasi kwenye mchezo wa leo itaendelea kumjenga na kumfanya kuwa golikipa bora wa badae.”

- @mastertindwa 

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad