Habari za wakati huu, moja kwa moja, wanawake hawajui wanachokitaka, yaani ni vurugu vurugu kabisa, ipo hivi;
- Ukiwa na uume mrefu atakwambia unafaa kwa kuangalia na unavutia ila una muumiza utamtoa kizazi, hataki.
- Ukiwa na kibamia atakutukana na atasema unamchafua tuu atakwambia ongeza uume na ole wako uongeze atakuambia tena anaumia.
- Atataka umkojoze panapo sita kwa sita ila sasa akikumbuka hela huna atakwambia wewe ni mwanaume suruali.
- Ukimkojoza na ukiwa hauna kitambi mwanamke anataka uwe na kitambi.
- ukiwa na kitambi anataka uwe na sixpack.
- ukiwa na six pack na mwembamba anataka uwe na hela.
- Ukiwa na hela anataka uwe na nguvu za kiume.
- Ukiwa na nguvu za kiume anataka uwe mnene.
- Ukiwa mnene mara anataka uwe unamiliki ndinga.
- Na ole wako uwe na hela ndio atalazimisha uwe na kitambi na unenepe, sasa ole wako usiwe na kitambi utajua hujui.
Yaani itakuwa kila siku anajiliza eti akidai anaonekana hakutunzi, yeye ananenepa wewe haunenepi.
NB: Ukiweza timiza yote hayo ataenda kugongwa huko nje na mwisho wa siku atakuona wewe ni fala tuu!
Yani ni vurugu vurugu! Wanaume, hawa viumbe msiwasikilize kabisa, wewe mwitikie tuu ila usisikie anacho kisema na usitekeleze maana utaumia.