Kutana na Mdada Aliyezaliwa na Sehemu Mbili za Siri, Moja Anatumia Kwa Mume Wake Ingine Kudanga


Mapya yaibuka !! Mwanadada Evelyn(31) amezaliwa na matumbo mawili ya uzazi na sehemu mbili za siri za kike, moja anaitumia kwa ajili ya mume wake na nyingine anaitumia kikazi kwa ajili ya kudanga

Evelyn kutoka nchini Austaralia akihojiwa amesema mwaka 2005 baada ya kuingiza tampons sehemu zake za siri alihisi kuna kitu hakipo sawa, akiwa na miaka 17 alipojaribu kufanya mapenzi kwa mara ya kwanza mwanaume wake nae akawa haelewielewi

2011 ndipo uchunguzi wa kina hospitali ukabaini Evelyn ana sehemu mbili za siri za kike, matumbo mawili ya uzazi, sets mbili za ovari na cervix zinazojitegemea na vyote vipo active vinafanya kazi

Katika mamilioni ya wanawake wachache ndio wanapatwa na hali hiyo na hadi sasa wanasayansi hawajajua hasa inasababishwa na nini, ingawa wenye hiyo hali matumbo yote mawili ya uzazi huwa madogo na kupelekea mimba kuharibika mara kwa mara, pia wanawake wengine wenye hiyo hali hawana uwezo wa kubeba mimba kabisa na wengine hawana vyote viwili viwili kama Evelyn

Eveylin akihojiwa amesema awali alikuwa na hofu kumuleza mwanaume anayekuwa nae katika mahusiano sababu wanaume walikuwa hawamuelewi wanapokutana kimwili hata hivyo baadaye alimpata mchumba huyo aliyemkubali kwa hali yake wakaoana

Baadaye akajitosa kwenye kurelodi picha za kikubwa akiwa mwenyewe, nyingine akiwa na mumewe huyo na wakati mwingine anarekodi picha za kikubwa na wanaume wengine ambapo kwasasa kwa wiki anaingiza £12,000 ambazo sio chini ya milioni 34.8 za Kibongo na yeye na mumewe tayari wamefungua kampuni ya mambo mengine ila bado wanajirekodi mamuvi ya kikubwa kikazi

Evin amesema hajihisi anachepuka kwasababu uke mmoja huutumia kwa ajili ya mume wake na mwingine kwa ajili ya kibarua chake cha udangaji, kurekodi picha za kikubwa

Licha ya tatizo lake kuwa ngumu kupata watoto lakini amebahatika kupata watoto wawili wa kike na kiume wenye miezi 20 na miezi 8 na wote wamezaliwa wakiwa na uzito mdogo sana sababu ya matumbo ya uzazi aliyonayo kuwa madogo,.watoto walikuwa ICU kwa miezi kadhaa na sasa wana afya nzuri

Changamoto amesema ni wakati akiwa na mimba kwenye tumbo moja ila anakuwa na hofu ya kubeba mimba nyingine katika tumbo jingine hivyo kutumia kingia

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad