Lemutuz "Tusitegemee Kuwashinda Kirahisi Hawa Waarabu Wydad Kwao"



Ameandika Lemutuz:

HAO ni Washabiki wa WYDAD na Uhuni wao UGENINI hawaogopi maana MAKAO MAKUU YA CHAMA CHA SOKA AFRIKA yapo huko huko Karibu na Kwao ....ndio maana REFA ALIYEPANGWA MAPEMA alibadilishwa JUU KWA JUU ...hata Uamuzi wa Kucheza na Simba ulikuwa ni uamuzi wao ....SAWA ...the Americans wanasema CHAMPION HUPIGWA KWA KNOCKOUT huwa kumshinda Bingwa lazima Umpige Magoli ndio maana SUNSDOWN MAMELODI Huwa wanawapiga hawa Waarabu kwao MAGOLI 5 - 0 Kwenda mbele ...tusitegemee kuwashinda kwa GOLI MOJA KWAO watafanya lolote WATATUSHINDA NA KWA KAWAIDA SOKA LAO HUWA LINACHEZWA NJE YA UWANJA NA MASHABIKI WAO ambao WANA BACK UP YA CHAMA CHA SOKA AFRIKA....
So SIMBA LUNYASI tuna MTIHANI MZITO SANA lakini tunajua kwamba WANAFUNGIKA SO LETS GO SIMBA LUNYASI TUWAPIGE gademu KWAO! - BOMA LIWANZA
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad